Translations:Translating LimeSurvey/3/sw
From LimeSurvey Manual
Je, haingekuwa vyema kuwa na LimeSurvey kutafsiriwa kabisa kwa lugha yako ya asili? Timu ya LimeSurvey huwa inatafuta tafsiri mpya na watu wanaosaidia kusasisha zilizopo. Tafadhali soma maagizo haya na usisite kutuma barua pepe kwa translation@limesurvey.org ikiwa una shaka au una maswali mengine yoyote.